Huku Logo

Sera ya Faragha

hukutz.com tumejitolea kulinda na kuheshimu faragha yako. Ikiwa una maswali kuhusu taarifa zako binafsi tafadhali wasiliana nasi.

Taarifa Tunazokusanya Kuhusu Wewe

Aina ya taarifa tunazokusanya ni pamoja na:

  • Jina lako au jina la mtumiaji
  • Anuani yako ya barua pepe (iliyotumika wakati wa usajili).
  • Tarehe na muda wa weka tangazo kwenye tovuti.
  • Maelezo kuhusu tangazo lako.
  • Taarifa nyingine utakazo toa ili kuwezesha kupata huduma hii

Tunakusanya baadhi au taarifa zote hizi katika njia zifuatazo:

  • Unapojisajili kama mwanachama wa tovuti hii.
  • Unapojaza fomu ya mawasiliano.
  • Unapotembelea tovuti hii.
  • Unapojaza sehemu katika wasifu wako.

Matumizi ya Taarifa Zako Binafsi

Tunaweza kutumia taarifa zako binafsi kwa njia zifuatazo:

  • Kutunza kumbukumbu za wanaotembelea ya tovuti kwa ajili ya usalama na uthabiti wa mfumo wetu.
  • Kukuwezesha kuwa mwanachama aliyesajiliwa na kuchangia matangazo kwenye tovuti hii.
  • Kukutumia barua pepe kukujulisha kuhusu shughuli mbalimbali kwenye tovuti.
  • Kuwasiliana na wanachama wote mara kwa mara kwa matangazo muhimu kupitia barua pepe.

Tunaweza pia kukusanya taarifa ambazo hazikufanyi utambulike moja kwa moja, kama vile aina ya kifaa unachotumia. Hii ni kwa madhumuni ya uchambuzi na kufuatilia idadi ya watembeleaji wa tovuti yetu.

Ulinzi wa Taarifa Zako

hukutz.com imejizatiti kuhakikisha kuwa taarifa zote unazotupatia ziko salama. Tumetekeleza hatua na taratibu stahiki za kuzuia uvujaji wa taarifa binafsi.

Sera ya cookies

Cookies ni mafaili madogo ya maandishi tunayoweka kwenye kompyuta yako ili kuwezesha huduma fulani, kama vile kuingia kwenye akaunti bila kuweka nywila ( password ) mara kwa mara. Unaweza kusoma zaidi kuhusu matumizi yetu ya cookies.

Haki Zako

Una haki ya:

  • Kurekebisha au kukamilisha taarifa zisizo sahihi au pungufu.
  • Kuomba tufute taarifa zako kabisa kutoka kwenye mfumo wetu.

Uthibitisho wa Kukubali Sera

Kuendelea kutumia tovuti yetu kunathibitisha kwamba umekubaliana na sera hii. Ikiwa hukubaliani nayo, tafadhali usitumie tovuti hii.

Mabadiliko ya Sera Hii

hukutz.com inaweza kufanya mabadiliko kwenye sera hii wakati wowote. Unaweza kuombwa kupitia na kukubali upya sera hii ikiwa kutakuwa na mabadiliko ya muhimu siku zijazo.